Dismas Otuke
Kaunti saba kukosa umeme Alhamisi
Kaunti saba nchini zinatarajiwa kukosa nguvu za umeme leo kulingana na arifa kutoka kwa kampuni ya kusambaza umeme nchini ,KPLC.
Maeneo kadhaa ya kaunti za...
Wakulima wataka serikali iongeze bei ya mahindi hadi shilingi 6,000
Wakulima wameitaka serikali kuongeza bei ya kununua mahindi kutoka shilingi 4,000 hadi 6,000, kwa gunia la kilo 90 kutoka kwa wakulima.
Wamehoji kuwa bei mpya...
Serikali kukagua shule za mabweni za umma na za kibinafsi kote...
Serikali itaanza awamu ya kwanza ya kukagua shule za mabweni za umma na zile za kibinafsi, ili kuhakikisha zinazingatia masharti ya kiusalama yaliyowekwa.
Kulingana na...
Matayarisho ya michezo ya Wabunge Afrika Mashariki yanoga
Matayarisho kwa makala ya 14 ya michezo baina ya Wabunge wa Afrika Mashariki yameshika kasi, huku michezo hiyo ikitarajiwa kuandaliwa Disemba mwaka huu.
Kamati ya...
Rais Ruto ataka uchunguzi wa haraka kwa vifo vya wanafunzi...
Rais William Ruto ametaka uchunguzi wa haraka kufuatia vifo vya zaidi ya wanafunzi 21, katika shule ya Hillside Endarasha Academy katika mkasa wa moto...
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Ally Kibao auawa kikatili
Mwili wa mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Ally Kibao aliyetekwa nyara kutoka kwa basi na wanaume waliojihami kwa bunduki, umepatikana viungani mwa jiji la...
Dirisha refu la uhamisho katika Ligi Kuu ya FKF kufungwa leo
Dirisha refu la uhamisho wachezaji katika ligi kuu ya Kenya,FKF linatarajiwa kufungwa leo usiku wa manane, huku shirikisho la kandanda likitoa siku 10 kwa...
Walioangamia kwenye ajali ya lori la mafuta, Nigeria wagonga 48
Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa mlipuko wa lori la mafuta hapo jana nchini Nigeria imepanda hadi 48.
Kulingana na shirika la kiserikali la...
Rais Tebboune ashinda muhula wa pili nchini Algeria
Rais Abdulmadjid Tebboune ameshinda muhula wa pili kuliongoza taifa la Ageria, baada ya kupata asilimia 95 ya kura zilizopigwa Jumamosi iliyopita.
Matokeo hayo yalitangazwa Jumapili...
Wakazi wa Kitui wakimbia makwao wakihofia usalama
Mamia ya wakazi wa maeneo ya Ngomeni na Mandongoi, eneo la Mwingi Kaskazini kaunti ya Kitui, wametoroka makwao kwa hofu ya usalama kufuatia uvamizi...