Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1575 POSTS 0 COMMENTS

Rais Ruto ahudhuria kutawazwa kwa kasisi Gachihi wa KDF

0
Rais William Ruto anahudhuria sherehe ya kutawazwa kwa kasisi Wallace Ng’ang’a Gachihi,kuwa askofu wa jeshi la Kednya katika uwanja wa kijeshi wa Ulinzi Sports...

Comoros waigutua Tunisia nyumbani mechi ya kufuzu AFCON

0
Comoros waliishanagza Tunisia walipolaza bao moja kwa bila katika mechi ya kundi A, iliyochezwa mjini Tunis Ijumaa usiku. Bao la Comoros lilipachikwa dakika ya 63...

Raila aongoza mkutano wa ODM Mombasa

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anaongoza mkutano wa chama cha Orange Democratic Movement-ODM katika kaunti ya Mombasa. Mkutano huo yamkini unatarajiwa kutoa mwelekeo wa...

Adani yasaini mkataba wa shilingi bilion 95.6 na KETRACO

0
Kampuni ya KETRACO imesaini mkataba wa kima cha shilingi bilioni 95.68 na kampuni ya Adani Energy Solutions kwa kipindi cha miaka 30. Kulingana na Waziri...

Mariga ndiye mwaniaji mwenza wa Hussein uchaguzi wa FKF

0
Kiungo mkabaji mstaafu wa Kenya MacDonald Mariga ndiye mwaniaji mwenza wa Hussein Mohammed, kwenye uchaguzi wa shirikisho la soka nchini FKF unaoatarajiwa kuandaliwa Disemba...

Serikali ya Cameroon yapiga marufuku habari za afya ya Rais Biya

0
Serikali ya Cameroon imepiga marufuku vyombo vyote vya habari nchini humo kuchapisha au kuzungumzia habari za afya ya Rais Paul Biya, kufuatia uvumi kuwa...

Simba wa Cameroon waifukuchua Harambee Stars

0
Wenyeji Cameroon wameititiga Kenya mabao 4-1 katika mchuano wa kundi J,kufuzu AFCON mwaka ujao uliosakatwa ugani Ahmadou Ahidjo mjini Yaounde Ijumaa jioni. Simba wa...

Usaili wa mwenyekiti mpya wa IPOA kuandaliwa Oktoba 22 na 23

0
Mahojiano ya kumtafuta mwenyekiti mpya wa Mamlaka Huru ya Kuangazia Utenda Kazi wa Maafisa wa Polisi, IPOA yataandaaliwa kati ya Oktoba 22 na 23. Wadhifa...

Brazil washinda, Colombia wapigwa huku Argentina wakikabwa koo

0
Mabingwa wa dunia Argentina wamelazimishwa kutoka sare ya bao moja ugenini dhidi ya Venezuela katika mechi za Amerika Kusini kufuzu kwa Kombe la Dunia...

Gachagua kupewa saa tano kujitetea Seneti

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua atapewa jumla ya muda wa saa tano kujitetea atakapofika mbele ya bunge la Seneti Alhamisi wiki ijayo. Kesi ya Gachagua itaanza...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS