Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1274 POSTS 0 COMMENTS

Sehemu ya 1: Chimbuko la Michezo ya Olimpiki

0
Michezo ya Olimpiki inayoandaliwa kila baada ya miaka minne ilianzia nchini Ugiriki kabla ya kufufuliwa tena katika karne ya 19. Michezo hiyo iliwashirikisha wachezaji limbukeni...

KMTC yafungua maombi ya kozi kupitia mtandao wa KUCCPS

0
Chuo cha mafunzo ya matibabu nchini, KMTC kimetangaza kuanza kupokea maombi ya kozi katika mabewa ya chuo hicho kupitia tovuti ya Mamlaka ya Kutoa...

Omanyala na Atuka kupeperusha bendera ya Kenya katika ufunguzi wa Olimpiki

0
Bingwa  wa Jumuiya ya Madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala na nahodha wa timu ya taifa ya Voliboli kwa vipusa Triza Atuka...

Malkia Strikers na Shujaa zawasili Paris tayari kwa michezo ya Olimpiki

0
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya wanawake almaarufu Malkia Strikers imewasili mjini Paris nchini Ufaransa siku ya Jumatatu, tayairi kwa mechi  za...

Waalikwa Red Arrows watwaa kombe la CECAFA

0
Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Zambia Red Arrows ndio washindi wa mwaka huu  wa kombe la muungano wa vyama vya soka Afrika mashariki na...

Biden ajiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais

0
Rais Joe Biden amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais nchini Marekani. Uchaguzi mkuu nchini humo umepangwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu. "Wanachama wenzangu wa Democrat, nimeamua kwamba...

Mitihani ya kitaifa kuathiriwa kutokana na kupunguzwa kwa bajeti

0
Katibu wa Elimu  ya msingi Belio Kipsang ameonya kuwa huenda mitihani ya kitaifa ikaathiriwa vibaya, kutokana na hatua ya serikali ya kupunguza bajeti ya...

Inter Miami yamuenzi Messi kwa kutwaa mataji 45

0
Klabu ya Inter Miami inayoshiriki ligi kuu nchini marekani MLS,imeandaa dhifa ya kumtuza mshambulizi na nahodha wa Argentina Lionell Messi kwa mataji 45 aliyotwaa...

UDA yakataa kutimuliwa kwa Gavana Mwangaza

0
Chama cha United Democratic Alliance(UDA) kimelitaka bunge la kaunti ya Meru kuondoa hoja ya kumtimua Gavana  wa Meru Kawira Mwangaza . Kwenye waraka kwa naibu...

Wanyonyi awarai Wabunge kuwapiga msasa vyema Mawaziri walioteuliwa

0
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amewataka Wabunge kuwapiga msasa ipasavyo Mawaziri walioteuliwa na Rais william Ruto, ili kuhakikisha ni wale tu wanaofaa watakaoidhinishwa. Wanyonyi amesema...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS