Dismas Otuke
Chebet atawazwa mwanaspoti bora wa Agosti
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Beatrice Chebet ndiye mwanaspoti bora wa mwezi Agosti wa tuzo ya chama cha wanahabari wa michezo LG/SJAK, baada ya...
Fainali za CHAN kuandaliwa kati ya Februari 1 na 28...
Makala ya nane ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani maarufu kama CHAN yataandaliwa baina ya Februri...
Waziri Mvurya afungua maonesho ya biashara ya INDONEX jijini...
Waziri wa Biashara,uwekezaji na viwanda Salim Mvurya, amefungua rasmi maonesho ya kibiashara ya Indonesia jijini Nairobi maarufu kama Indonesia Nairobi Expo (INDONEX) 2024,kuadhimisha miaka...
Koome ataka kurejeshwa kwa walinzi wa Jaji Mugambi
Jaji Mkuu Chief Martha Koome ameitaka huduma ya kitaifa ya Polisi kurejesha walinzi wa Jaji Lawrence Mugambi mara moja.
Inadaiwa kuwa walinzi wa jaji huyo...
Waaniaji saba waidhinishwa kuwania Urais wa IOC
Waaniaji saba wameidhinishwa kuwania Urais wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki (IOC),uchaguzi ulioratibiwa kuandaliwa wakati wa kikao cha 143 kati ya Machi 18 na...
Mamia ya raia wa Morocco wakamatwa wakitorokea Uhispania
Mamia ya raia wa Morocco walikamatwa na maafisa wa polisi siku ya Jumapili wakijaribu kutorokea nchini Uhispania, kwa kuogelea katika ufukwe wa Ceuta ulio...
Kindiki abuni kamati ya kutekeleza mapendekezo ya Maraga
Waziri wa usalama wa kitaifa Professa Kithure Kindiki ameteua kamati itakayosimamia utekelezaji wa mapendekezo ya idara ya polisi yaliyopendekezwa na jopokazi la David Maraga.
Kamati...
Gor Mahia wang’atwa nyumbani na mashetani wekundu
Gor Mahia wameambulia kichapo cha magoli matatu kwa nunge kutoka kwa mabingwa watetezi Al Ahly ya Misri,katika duru ya kwanza ya mchujo wa pili...
Spika Wentang’ula ataka kuharakishwa kubuniwa kwa IEBC
Spika wa Bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, ametaka kuharakisha kwa kubuniwa kwa tume huru ya mipaka na uchaguzi nchini IEBC, huku bunge likijipanga kurejelea...
Rais wa CAF Dkt Motsepe kuwasili Kenya leo
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika ,Dkt Patrice Motsepe anatarajiwa kuwasili nchini leo alasiri kwa ziara ya siku mbili.
Dkt Motsepe anatarajiwa kuwasili katika...