Dismas Otuke
Magut na Limo wadedea Nairobi city marathon
Eliud Magut na Cynthia Limo ndio mabingwa wa makala ya tatu ya mbio za Nairobi City marathon zilizoandaliwa Jumapili.
Magutaliziparakasa kwa saa dakika...
Barabara kuu za jijini Nairobi kufungwa kuanzia Jumamosi usiku
Barabara nyingi za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Nairobi zitafungwa kati ya Jumamosi saa nne usiku hadi Jumapili saa tisa alasiri, kupisha...
Kenya ,Uganda na Tazanzania wafungua mechi za kufuzu AFCON kwa sare
Mataifa jirani ya Kenya ,Uganda na Tanzania yalisajili sare katika mechi za ufunguzi hatua ya makundi kufuzu kwa fainali za kombe la AFCON mwaka...
Algeria wapiga huku Rais Tebboune akipigiwa upato kuhifadhi Urais
Wapiga kura milioni waliosajiliwa 24.4 wanatarajiwa kushiriki katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Algeria siku ya Jumamosi, huku Rais Abdelmadjid Tebboune,aliye...
China yaahidi msaada wa dola bilioni 51 kwa...
Uchina imeahidi kutoa msaada wa dola za Kimarekani bilioni 51 kufadhili miradi 30 ya miundo msingi barani Afrika, inayokisiwa kubuni nafasi za ajira milioni...
Harambee Stars yaelekea Jo’burg kuikabili Namibia
Timu ya taifa ya Soka Harambee Stars imeondoka Kampala mapema leo Jumamosi, kuelekea mjini Johanesburg, Afrika Kusini kwa mechi ya kufuzu kwa fainali za...
Kenya na Zimbabwe waambulia sare tasa kufuzu AFCON
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imeambulia sare tasa na Zimbabwe katika mchuano wa kwanza wa kundi J, kufuzu kwa fainali za AFCON...
Bedan Karoki athibitisha kushiriki Nairobi Marathon
Mwanariadha Bedan Karoki mwenye makao yake nchini Japan , amethibitisha kushiriki makala ya tatu ya mbio za Nairobi City Marathon Jumapili hii Septemba 8.
Karoki,...
Kenya yaripoti kisa cha tano cha Mpox
Wizara ya afya imethibitisha kisa cha tano cha virusi vya Mpox ambaye ni mwanfunzi wa umri wa miaka 28, katika mtaa wa VOK kaunti...
Wizara ya Elimu kuchunguza mkasa wa moto katika shule ya Hillside
Wizara ya Elimu imesikitishwa na mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 17 katika shule ya sekondari ya Hillside Endarasha, kaunti ya Nyeri Alhamisi...