Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1433 POSTS 0 COMMENTS

Matayarisho ya michezo ya Wabunge Afrika Mashariki yanoga

0
Matayarisho kwa makala ya 14 ya michezo baina ya Wabunge wa Afrika Mashariki yameshika kasi, huku michezo hiyo ikitarajiwa  kuandaliwa Disemba mwaka huu. Kamati ya...

Rais Ruto ataka uchunguzi wa haraka kwa vifo vya wanafunzi...

0
Rais William Ruto ametaka uchunguzi wa haraka kufuatia vifo vya zaidi ya wanafunzi 21, katika shule ya Hillside Endarasha Academy katika mkasa wa moto...

Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Ally Kibao auawa kikatili

0
Mwili wa mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Ally Kibao aliyetekwa nyara kutoka kwa basi na wanaume waliojihami waliojihami kwa bunduki, umepatikana viungani mwa jiji...

Dirisha refu la uhamisho katika Ligi Kuu ya FKF kufungwa leo

0
Dirisha refu la uhamisho wachezaji katika ligi kuu ya Kenya,FKF linatarajiwa kufungwa leo usiku wa manane, huku shirikisho la kandanda likitoa siku 10 kwa...

Walioangamia kwenye ajali ya lori la mafuta, Nigeria wagonga 48

0
Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa mlipuko wa lori la mafuta hapo jana nchini Nigeria imepanda hadi 48. Kulingana na shirika la kiserikali la...

Rais Tebboune ashinda muhula wa pili nchini Algeria

0
Rais Abdulmadjid Tebboune ameshinda muhula wa pili kuliongoza taifa la Ageria, baada ya kupata asilimia 95 ya kura zilizopigwa Jumamosi iliyopita. Matokeo hayo yalitangazwa Jumapili...

Wakazi wa Kitui wakimbia makwao wakihofia usalama

0
Mamia ya wakazi wa maeneo ya Ngomeni na Mandongoi, eneo la Mwingi Kaskazini kaunti ya Kitui,  wametoroka makwao kwa hofu ya usalama kufuatia uvamizi...

Harambee Stars waendeleza mazoezi Jo’ burg

0
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imeendeleza mazoezi mjini Johannesburg Afrika  Kuisni,kujiandaa kwa mechi ya pili ya kundi J, kufuzu kwa fainali za...

Michezo ya Olimpiki kwa walemavu jijini Paris kufungwa Jumapili

0
Michezo ya Olimpiki kwa wanamichezo walemavu itafungwa rasmi Jumapili usiku, baada ya kudumu kwa zaidi ya majuma mawili. Olimpiki kwa walemavu ilishirikisha zaidi ya nchi...

Maelfu waandamana Israel, wataka mateka kuachiliwa Gaza

0
Makumi ya maelfu ya raia wa Israel wamejitokeza barabarani mapema Jumapili kumshinikiza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kutia saini makubaliano yatakayowezesha kuachiliwa huru kwa Waisraeli...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS