Dismas Otuke
Rigathi aanza kutema ushahidi bungeni kupinga kufurushwa ofisini
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameaanza kutoa utetezi na ushahidi kwenye bunge la kitaifa Jumanne jioni kupinga kutimuliwa afisini kwa tuhuma za ufisadi.
Gachagua alianza kujitetea ...
Majaji sita walionyimwa kazi na Uhuru kupokea shilingi milioni 126
Majaji sita walionyimwa kazi na Rais Uhuru Kenyatta wamepewa malipo ya shilingi milioni 126 kama dhamana kwa ukiukaji wa haki zao za kimsingi.
Jaji Chacha...
Serikali yatoa shilingi bilioni 3.4 kwa mradi wa inua Jamii
Serikali imetoa shilingi bilioni 3,492,591,500 kwa mradi wa inua jamiii katika mwezi wa Septemba.
Wizara ya leba na ulinzi wa jamii imesema hela hizo zinalenga...
Simba wa Cameroon wajiandaa kuwang’ata Kenya
Timu ya taifa ya Cameroon almaarufu The Indomitable Lions imeendeleza mazoezi mjini Yaounde kujiandaa kwa mechi ya tatu ya kundi J, kufuzu kwa fainali...
Tom Alila ajitosa kuwania Urais wa FKF
Aliyekuwa mwanachama wa shirikisho la soka nchini kutoka Nyanza Tom Alila ametangaza kuwania Urais katika uchaguzi wa Disemba 7 mwaka huu.
Alila,amezindua kampeini yake Jumanne...
Gachagua: Sing’atuki ng’o!
Niabu Rais Rigathi Gachagua amekanusha na kuondoa uwezekano wa kujiuzulu kutoka afisini, akielezea imani yake ya kushinda madai ya ufisadi yaliyowasilishwa dhidi yake mbele...
Gachagua kufika bungeni Jumanne kujitetea
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema atafika mbele ya bunge la kitaifa kujitetea kesho saa kumi na moja jioni dhidi ya madaia ya ufisadi dhidi...
Gachagua akana kumiliki kampuni zinazofanya ni biashara na serikali
Naibu Rais William Ruto amekanusha madai ya kampuni zinazomilikiwa na familia yake kufanya biashara na serikali, kinyume cha ilivyodaiwa kwenye kesi ya kumng'atua afisini...
Gachagua akanusha mashtaka dhidi yake akisema ni porojo
Naibu Rais Rigathi Gachagua, ameweka paruwanja chanzo cha mali yake anayomiliki na kukanusha madai kuwa yeye ni mfisadi.
Gachagua aliyasema hayo Jumatatu usiku, saa chache...
Bingwa wa Afrika mwaka 2015 Clement Kemboi afariki
Bingwa wa Afrika mwaka 2015 wa mita 3,000 kuruka viunzi na maji Clement Kemboi amefariki katika hali ya kutatanisha.
Mwili wa Kemboi ulipatikana ukiwa unaning'inia...