Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1534 POSTS 0 COMMENTS

Immaculate Anyango apigwa marufuku na AIU kwa kula muku

0
Bingwa wa Sirikwa Classic Cross country mwaka huu Emmaculate Achol Anyango, amefungiwa kushiriki mashindano baada ya kupatikana kuwa mlaji muku. Kulingana na...

Jopokazi la AFC Leopards laanza ziara Tanzania

0
Jopokazi la klabu ya AFC Leopards limeanza ziara yake nchini Tanzania katika klabu ya Yanga, leo kutathmini mbinu bora za kubadilisha timu hiyo ya...

Maafisa wanne wa polisi nchini Uganda wawekewa vikwazo vya usafiri na...

0
Maafisa wanne wakuu wa polisi nchini Uganda wamewekewa vikwazo vya kusafiri nchini Marekani, kutokana na kuhusika kwao katika visa vya ukiukaji haki za kibinadamu. Mathew...

Malimbukeni wanyofoa mibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya

0
Mechi za raundi ya pili hatua ya makundi kuwania kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya zilimalizika kwa kishindo huku timu limbukeni zikiwaangusha...

Harambee Stars kuingia kambi Oktoba 4 kwa mtihani wa Cameroon

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Haram ee Stars itaripoti kwa kambi ya mazoezi Ijumaa Oktoba 4, kujiandaa kwa mechi za kufuzu AFCON...

UDA yajitenga na mswada wa kuongeza kipindi cha Rais

0
Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimejitenga na mswada uliopendekezwa na Seneta wa Nandi Samson Cherargei  unataoka kuongeza kipindi cha kuhudumu kwa viongozi wanaochaguliwa...

Murkomen aandaa kikao cha utathmini utendakazi

0
Waziri wa masuala ya vijana ,uchumi bunifu na michezo Kipchumba Murkomen, ameandaa kikao  ha kutathmini utendakazi na kujadili mustakabali wa wizara hiyo. Akihutubu Murkomen amesema...

Seneta Mandago taabani baada ya DPP kuidhinisha ashtakiwe

0
Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago amejipata taabani baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kuidhinisha mashtaka mapya katika sakata inayomkabili ya shilingi...

Gavana wa Kericho Eric Mutai atimuliwa

0
Bunge la kaunti ya Kericho siku ya Jumatano limekaidi agizo la mahakama na kumtimua Gavana Eric Mutai, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya afisi...

Kocha wa Senegal Aliou Cisse apigwa kumbo

0
Shirikisho la kandanda nchini Senegal limemtimua kocha mkuu wa timu ya taifa Aliou Cisse, kutokana na msururu wa matokeo mabaya ya timu hiyo katika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS