Dismas Otuke
Kenya kukwangurana na Tanzania CECAFA U -20
Kenya imepangwa kundi moja la A na wenyeji Tanzania katika mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 20.
Mataifa...
Sebb Coe afungiwa kuwania Urais wa IOC
Azma ya Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni Sebb COE kuwania Urais wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC, imegonga mwamba baada ya sheria...
Septemba 27 ni siku kuu nchini St.Lucia kusherehekea ushindi...
Raia wa kisiwa cha Saint Lucia wamepewa siku kuu ya mapumziko tarehe 27 Septemba, ili kusherehekea ushindi wa bingwa wa Olimpiki katika mita 100...
Arteta asaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Arsenal
Meneja wa klabu cha Arsenal Mikel Arteta,amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na timu hiyo ya London utakaokamilika mwaka 2027.
Mhispania huyo aliye na umri...
Upasuaji wa maiti za wanafunzi 21 wa Endarasha Hillside Academy kufanyika...
Shughuli ya upasuaji wa maiti 21 za wanafunzi waliofariki kwenye mkasa wa moto katika shule ya Endarasha Hillside Academy, unatarajiwa kufanyika leo.
Hii inafuatia kukamilika...
Kaunti saba kukosa umeme Alhamisi
Kaunti saba nchini zinatarajiwa kukosa nguvu za umeme leo kulingana na arifa kutoka kwa kampuni ya kusambaza umeme nchini ,KPLC.
Maeneo kadhaa ya kaunti za...
Wakulima wataka serikali iongeze bei ya mahindi hadi shilingi 6,000
Wakulima wameitaka serikali kuongeza bei ya kununua mahindi kutoka shilingi 4,000 hadi 6,000, kwa gunia la kilo 90 kutoka kwa wakulima.
Wamehoji kuwa bei mpya...
Serikali kukagua shule za mabweni za umma na za kibinafsi kote...
Serikali itaanza awamu ya kwanza ya kukagua shule za mabweni za umma na zile za kibinafsi, ili kuhakikisha zinazingatia masharti ya kiusalama yaliyowekwa.
Kulingana na...
Matayarisho ya michezo ya Wabunge Afrika Mashariki yanoga
Matayarisho kwa makala ya 14 ya michezo baina ya Wabunge wa Afrika Mashariki yameshika kasi, huku michezo hiyo ikitarajiwa kuandaliwa Disemba mwaka huu.
Kamati ya...
Rais Ruto ataka uchunguzi wa haraka kwa vifo vya wanafunzi...
Rais William Ruto ametaka uchunguzi wa haraka kufuatia vifo vya zaidi ya wanafunzi 21, katika shule ya Hillside Endarasha Academy katika mkasa wa moto...