Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1419 POSTS 0 COMMENTS

Barabara kuu za jijini Nairobi kufungwa kuanzia Jumamosi usiku

0
Barabara nyingi za kuingia na kutoka katikati ya jiji la Nairobi zitafungwa kati ya Jumamosi saa nne usiku hadi Jumapili saa tisa alasiri, kupisha...

Kenya ,Uganda na Tazanzania wafungua mechi za kufuzu AFCON kwa sare

0
Mataifa jirani ya Kenya ,Uganda na Tanzania yalisajili sare katika mechi za  ufunguzi hatua ya makundi kufuzu kwa fainali za kombe la AFCON mwaka...

Algeria wapiga huku Rais Tebboune akipigiwa upato kuhifadhi Urais

0
Wapiga kura milioni waliosajiliwa 24.4 wanatarajiwa kushiriki  katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Algeria siku ya Jumamosi, huku Rais Abdelmadjid Tebboune,aliye...

China yaahidi msaada wa dola bilioni 51 kwa...

0
Uchina imeahidi kutoa msaada wa dola za Kimarekani bilioni 51 kufadhili miradi 30 ya miundo msingi barani Afrika, inayokisiwa kubuni nafasi za ajira milioni...

Harambee Stars yaelekea Jo’burg kuikabili Namibia

0
Timu ya taifa ya Soka Harambee Stars imeondoka Kampala mapema leo Jumamosi, kuelekea  mjini Johanesburg, Afrika Kusini kwa mechi ya kufuzu kwa fainali za...

Kenya na Zimbabwe waambulia sare tasa kufuzu AFCON

0
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars  imeambulia sare tasa na Zimbabwe katika mchuano wa kwanza wa kundi J, kufuzu kwa fainali za AFCON...

Bedan Karoki athibitisha kushiriki Nairobi Marathon

0
Mwanariadha Bedan Karoki mwenye makao yake nchini Japan , amethibitisha kushiriki makala ya tatu ya mbio za Nairobi City Marathon Jumapili hii Septemba 8. Karoki,...

Kenya yaripoti kisa cha tano cha Mpox

0
Wizara ya afya imethibitisha kisa cha tano cha virusi vya Mpox ambaye ni mwanfunzi wa umri wa miaka 28, katika mtaa wa VOK kaunti...

Wizara ya Elimu kuchunguza mkasa wa moto katika shule ya Hillside

0
Wizara ya Elimu imesikitishwa na mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 17 katika shule ya sekondari ya Hillside Endarasha, kaunti ya Nyeri Alhamisi...

Kenya Power yathibitisha kutoweka kwa umeme kote nchini

0
Kampuni ya usambazaji umeme ya KPLC imethibistiha kutoweka kwa nguvu za umeme katiuka maeneo mengi nchini Kenya kuanzia saa tatu Asubuhi. Kulingana na arifa hiyo...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS