Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1263 POSTS 0 COMMENTS

Ruth Chepng’etich na Kipruto kushiriki Chicago Marathon

0
Bingwa mara mbili wa Chicago Marathon Ruth Chepng'etich na bingwa wa London Marathon mwaka 2022 Amos  Kipruto, ni miongoni mwa wanariadha wa Kenya waliotoa...

Watatu kwenye kinyang’anyiro cha Inspekta Mkuu wa Polisi

0
Maafisa watatu wanawania kiti cha Inspekta Mkuu wa Polisi kumrithi Japhet Koome aliyejiuzulu wiki iliyopita. Watatu hao ni pamoja na kaimu Inspekta Mkuu Douglas Kanja,Kamanda...

Mahakama ya rufaa ya Kenya yakataa kuzuia kurejeshwa kwa mpunga ‘feki’...

0
Mahakama ya rufaa ya Kenya imekataa kuzuia kurejeshwa nchini Zanzibar kwa shehena ya mpunga feki,uliokuwa umewasilishwa humu nchini. Majaji Stephen Kairu, Agnes Murgor, na Kibaya...

Wanamichezo 81 wa Kenya kushiriki Olimpiki

0
Wanamichezo 81 wa Kenya watashiriki makala 33 ya michezo ya Olimpiki, itakayoandaliwa jijini Paris,Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11. Kikosi hicho kitasaidiwa na jumla...

Polisi wafunga barabara jijini Paris kwa sherehe za kufungua Olimpiki

0
Maafisa wa polisi nchini Ufaransa wameanza kufunga barabara za jiji kuu la Paris, kwa matayrisho ya sherehe za kufungua makala ya 33 ya michezo...

Matano aibwaga manyanga ya Tusker FC baada ya miaka sita

0
Kocha Mkuu wa Tusker FC Robert Matano ameachana na klabu hiyo yenye makao yake mtaani Ruaraka baada ya kuwafunza kwa kipindi cha miaka sita...

Kipkorir hatimaye arejeshwa katika timu ya Olimpiki

0
Mshindi wa nishani ya fedha ya mita 400 barani Afrika Kevin Kipkorir hatimaye atajiunga na wenzanke kambini huko Miramas nchini Ufaransa kujiandaa kwa michezo...

COTU yamtaka Rais kutekeleza kikamilifu matakwa ya Gen Z

0
Muungano wa wafanyakazi nchini - COTU, umemtaka Rais William Ruto kutekeleza kikamilifu baadhi ya matakwa ya vijana wa Gen Z ili wasitishe maandamano ambayo...

Polisi wamwagwa jijini Nairobi kuzuia maandamano ya Gen Z

0
Idadi kubwa ya polisi wa kupambana na ghasia wanashika doria katikati ya jiji la Nairobi kuzuia maandamano ya vijana wa Gen Z siku yaliyopangwa...

Raila awaomba wanahabari msamaha baada ya kushambuliwa

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio  Raila Odinga amewaomba msamaha wanahabari walioshambuliwa na wahuni siku ya Jumatano katika afisi za Wakfu wa Jaramogi Oginga Odinga. Katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS