Home Michezo Australia yajiondoa kuandaa michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2026

Australia yajiondoa kuandaa michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2026

Shirikisho ya michezo ya jumuia ya madola CGF limekuwa limekuwa liking’ang’ana kupata mwandalizi kabla ya mji wa Victoria nchini Australia kujitolea kuwa mwandalizi.

0

Australia imejiondoa kuandaa michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2026 kutokana na uchechefu wa pesa.

Shirikisho la Michezo la Jumuiya ya Madola, CGF limekuwa liking’ang’ana kupata mwandalizi kabla ya mji wa Victoria nchini Australia kujitolea kuwa mwandalizi.

Michezo ya jumuiya huandaliwa kila baada ya miaka minne na imeahirishwa mara mbili pekee wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na kwa kawaida hushirikisha mataifa 56 yaliyotawaliwa na Uingereza.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here