Home Michezo Arteta asaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Arsenal

Arteta asaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Arsenal

0
kra

Meneja wa klabu cha Arsenal Mikel Arteta,amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na timu hiyo ya London utakaokamilika mwaka 2027.

Mhispania huyo aliye na umri wa miaka 42, alijiunga na washika bunduki hao mwaka 2019,akitokea Mancity na mkataba wake ulikuwa ukamilike mwaka huu.

kra

The Gunners wameratibiwa kuwazuru mahasimu wa London Tottenham, katika Derby Jumapili hii mchuano wa Ligi Kuu.

Arsenal wamezoa alama 7 kutokana na mechi tatu za kufungua msimu wa ligi kuu, wakishinda michuano miwili na kutoka sare mmoja.

Baada ya mechi ya Tottenham,vijana wa Arteta watazuru Italia kumenyana na Atalanta, katika kipute cha Ligi ya Mabingwa ulaya.

Website | + posts