Home Habari Kuu Afisa wa polisi ampiga hakimu risasi mahakamani Makadara, Nairobi

Afisa wa polisi ampiga hakimu risasi mahakamani Makadara, Nairobi

0
kra

Afisa wa polisi anaripotiwa kumpiga risasi na kumuumiza hakimu wa mahakama ya Makadara, Nairobi.

Polisi huyo alikuwa amefika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi ya mkewe anayeripotiwa kuhukumiwa kifungo cha maisha gerezani na mahakama ikakataa kumwachilia kwa dhamana.

kra

Maafisa wa polisi waliokuwa wakishika doria mahakamani wanasemekana kujibu haraka na kumpiga risasi afisa huyo wa polisi.

Afisa huyo pamoja na hakimu walikimbizwa hospitalini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here