Home Kimataifa Afghanistan yapigwa na tetemeko la tatu la ardhi

Afghanistan yapigwa na tetemeko la tatu la ardhi

0

Mkoa Herat ulio magharibi mwa Afghanistan umegongwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa richa 6. nukta 3, ambalo ni la tatu kutokea nchini humo tangu tetemeko kubwa la oktoba 8 lililowaangamiza watu zaidi ya 2,000.

Tetemeko hilo limetoa mapema Jumapili kilomita 33 kaskazini magharibi ya mji wa Herat.

Uchunguzi ungali kuendelea ubaini athari za tetemeko hilo la ardhi la mapema Jumapili ingawa tayari watu 93 wameripotiwa kujeruhiwa .